23/04/2022
KARIBU ndg mwana page, page yangu ni page ya kazi zangu za fanicha nizifanyazo kila uchao. Nimekuwa kimya muda mrefu kwa sababu ya kutangaza kwenye kurasa zingine. Kurasa yangu hii ilikuwa na uchache wa watu na ndio maana nimekawia kuitumia. NATENGENEZA Vitanda vya sofa. Sofa, Vitanda vya chuma vya sofa, vya chuma vya kawaida, show case, kabati, dressing table, na zoote zinazohusu fanicha. Iwe chuma iwe mbao. Mimi nawakaribisha nyoote mfanye kazi nami. 0656932007 ndio namba yangu kuu kwenye mawasiliano ya kikazi. Karibuna saana
02/02/2022
24/12/2021