Hellow
Kitchen Cabinet Tanzania.
NI KAMPUNI YA KIZALENDO TANZANIA INAYOHUSIKA NA UKARABATI NA UTENGENEZAJI WA MAJIKO TANZANIA KWA NYUMBA YOYOTE.
tupo kwenye maandiliz ya kukuletea nini tumaeandaa kwako wewe mteja wa tanzania kumbuka tunatumia material za tanzania
natumizi ya malighafi na vyote vinavyo zalishwa ndani ya inchi ni vyema sana maana unadumisha uzalendo na kuendelea kuthamini nchi yako na kuifanya iwe bora
05/08/2014
tayari kwa matumiz
05/08/2014
juu mafundi wanatengeneza kulingana na jiko lilivo na tunazingatia ushauri wako.
05/08/2014
05/08/2014
bado kwenu tu karib
05/08/2014
mbezi mafundi wiko kazini
05/08/2014
mbezi mafundi wakiwa kazin
soon ur going to see all picture and video how we we made your kitchen cabnet in your hom.
kumbuka jiko ndio utam wa nyumba.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Address
Dar Es Salaam