05/06/2026
Kila rep ina maana. Kila hatua ina hesabu. π―ποΈββοΈ
Endelea kujisukuma leo kuliko ulivyokuwa jana.
Karibu!
Katika ulimwengu wa itel mobile,hapa utapata habari na Maelezo kuhusu bidhaa za itel na promosheni, pia kuna shughuli za mtandaoni zinazokuhusu wewe moja kwa moja utaweza hata kujipatia zawadi.
05/06/2026
Kila rep ina maana. Kila hatua ina hesabu. π―ποΈββοΈ
Endelea kujisukuma leo kuliko ulivyokuwa jana.
29/05/2026
Umaridadi wako una match perfectly na itel A200 π§‘
27/05/2026
π Eid Al Adha Mubarak kutoka itel Tanzania! π§‘
Sherehekea kila moment ukiwa na itel A200. π±β¨
25/05/2026
Kupiga story na mtu wako favorite huku vibe iko sawa ππ±π€
City 200 ni ile simu inayokuwa part ya daily moments zako bila kujisukuma sana.
18/05/2026
Hongereni sana washindi wa π₯π±
Tumefurahia kuona jinsi mlivyotuonyesha hustle zenu na namna ambavyo sifa za A200 zinavyosupport kazi zenu za kila siku πͺ
Asanteni kwa Washiriki wote, ku-create na kuonyesha nguvu ya hustle ya Kitanzania πΉπΏ
Na washindi Wetu waliofanya Vyema zaidi ni
mpemba
π Tafadhali wasiliana nasi DM kwa maelekezo ya zawadi zenuπ
Hongereni sana washindi wa π₯π±
mpemba
13/05/2026

Hustle Inaendelea, A200 Ipo
10/05/2026
Mama wengi walikesha wakituombea kabla hata hatujajua maana ya maisha β€οΈπ
Leo chukua muda kidogo kumuombea yeye pia.
βPray for her.β
Kwa sababu dua za mama hazijawahi kupoteza nguvu. πΈ
Happy Motherβs Day π
itel A200 β The best treat for Mum π±β¨
08/05/2026
π Fashion + Tech = Mimi!
Outfit yangu inang'aa, na simu yangu pia inang'aa! itel City 200 β companion wangu wa kila siku, iwe mitaani au nyumbani. Life ni mzuri! ππ₯
Unyama ni mwingi sanaaaaaaa ukiw na City200π₯π₯π₯π₯