24/02/2026
Kutoka kawaida β mpaka kisasa π₯
Hii ndio tofauti ya mpangilio sahihi wa furniture.
Ungependa sebule/ chumba chako kionekane hivi?
Nitumie βNATAKAβ DM nikuonyeshe options.
πDar es Salaam
Tunatengeneza kwa oda (size na rangi unachagua mwenyewe)
Kutoka kawaida hadi kisasa π₯
Hii ni nguvu ya furniture bora na mpangilio sahihi.
Ungependa nyumba yako ibadilike hivi?
π© Tuma DM sasa.
#FurnitureTanzania #HomeMakeover #DarEsSalaam #InteriorDesignTZ #NyumbaNzuri
23/02/2026
KABATI LA MILANGO 3 LINAPATIKANA π
Tunatengeneza makabati imara kwa mbao ngumu yenye finishing safi sana.
β Ndani kuna sehemu ya kutundika nguo
β Pia lina shelves za kupanga nguo vizuri
β Rangi unachagua mwenyewe
Tunapokea oda kwa vipimo vya chumba chako.
Kwa maelezo zaidi tuandikie inbox π©
22/02/2026
KABATI LA NGUO β MILANGO MIWILI πͺ΅
Inafaa kwa vyumba vya apartment au nyumba za kawaida.
Lina nafasi ya kutundika nguo pamoja na shelves za kupanga.
β Tunatengeneza kwa order
β Unachagua rangi unayotaka
β Delivery ndani ya Dar es Salaam ipo
Bei na maelezo zaidi β Tuma ujumbe Inbox au WhatsApp.
β¨ Elegance inaanzia nyumbani.
Set hii ya kisasa inapatikana kwa order kulingana na ukubwa wa space yako.
Tunatengeneza kwa ubora, uimara na muonekano wa kuvutia.
π Dar es Salaam
π© Wasiliana nasi DM kupata maelezo na bei
#FurnitureTanzania #DarFurniture #HomeDecorTZ #InteriorDesign #ModernHome
21/02/2026
With Matambwe Classic furniture β I just got recognized as one of their top fans!
19/02/2026
Watu wengi wanafikiri chumba kuwa kidogo ni tatizoβ¦
Lakini mara nyingi tatizo ni mpangilio wa samani π
Kwa mfano: β’ Kitanda kikubwa sana β’ Furniture nyingi β’ Kukosa kioo ukutani
Hivyo hufanya chumba kionekane kimebanwa hata k**a kina nafasi.
Ukipata nafasi, ungependa chumba chako kiwe na muonekano wa kisasa au wa kawaida?
Tuambie kwenye comments π Team Kazi Brand Furnitures tuko hapa kukushauri bure.
17/02/2026
Kitchen cabinets za kisasa kabisa π₯π₯..
Boss wangu ukihitaji makabati ya kujengea ya jikoni kwako nipe kaz boss wangu..
Unaona izo kabati zinavyo ng'aaaa izo ni stika boss wangu unafuta tu na azpauki..
Pia hazbanduki kiurahisi labda uchune kwa kisu maksudi..
Boss wangu utachagua ww utataka stika km hivyo au utataka rangi au utataka furniture board..
Tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kaz
0614480536
17/02/2026
Karibu mteja wetu. Mali Safi k**a hizi zinapatikana kwetu kwa bei nafuu.
WhatsApp no :0614480536
16/02/2026
Tunatengeneza milango ya mbao ngumu na imara. Kwa mawasiliano zaidi tuchekuki no: 0614480536
16/02/2026
TUPO KWA AJILI YAKO MTEJA
> Tunatengeneza furniture za aina zote kwa gharama nafuu.
> Tunapatikana msongola, Tenki la maji Njia ya kwenda kitonga.
Kwa mawasiliano zaidi:
WhatsApp no: 0614480536
Kupiga: 0614480536
"Mteja tupe picha tu, mengine tuachie sisi"