03/08/2022
Coffee table iliyotengenezwa kwa pinewood. Tsh.400,000/=
watenngenezaji wa samani za kisasa kwa kutumia mbao asilia na za viwandani.
03/08/2022
Coffee table iliyotengenezwa kwa pinewood. Tsh.400,000/=
03/08/2022
Meza na viti (dinning set), imetengenezwa kwa mbao ngumu ya mtiki na kufanyiwa finishing ya mat clear.
Set hii inatengenezwa ofisini kwetu kwa sh. 1,500,000/=
01/08/2022
Hata meza hii kwa ofisi yako isikushinde,
Mninga huleta mvuto sana hasa ufundi ukitulia mahali pake
Tshs 700,000/=
01/08/2022
Bado unatumia mtindo wa kabati la vyombo wa zamani?
Karibu tukupe kilicho bora
01/08/2022
01/08/2022
Kitchen Cabinet kwenye matengenezo.
Mbao ni pine (softwood)
01/08/2022
Kabati la mtoto, milango 3
Tshs 750,000/=
01/08/2022
Kabati la MTIKI (milango) na Mdf ndani
Utengenezaji rafiki kwa gharama nafuu
01/08/2022
Console Table ya Mpangapanga Tshs 600,000/=
01/08/2022
MDF Vs Mninga
01/08/2022
Mbao ngumu ya mninga huwa haidanganyi.