John kambi furniture

John kambi furniture

Share

i do oll kind of furniture.

24/01/2026

Welcome all at John kambi furniture

Photos from John kambi furniture's post 24/01/2026

Likoni my nawa karibisha nyote kwa kazi nzuri safi naya kuvutia karibuni saana wateja wangu na nyote mnao penda kazi safi isio chukuwa siku nyingi nawa penda saana na MUNGU atubariki sisi wote.

20/12/2025

Lamu

Photos from John kambi furniture's post 20/12/2025

My hand work imenipeleka hadi Lamu, shukrani zangu kwa wateja nyonte mnao niamini katika kazi zangu nami najitahidu kuwa ridhisha kwa kiwapa mnacho kitaka kwa wakati unao faa asanteni saana.

Photos from John kambi furniture's post 20/12/2025

Small kitchen an smart.

05/12/2025

Karibuni kwa siling ambayo sahii nawa wekea konar za mauwa pana na nzuri saana sio zile koner za mbao za kawaida sahi kazi inazidi kuwa bora nzuri na safi karibuni waana. Hakuna papy za katikati tena its like ime korogewa nawakaribisha nyote.

05/12/2025

Welcome all at John kambi furniture siling of its caind beautiful design even me i love it karibuni saana nyote. Kwa kazi inayo vutia macho na kufurahisha moyo.

05/12/2025
Want your business to be the top-listed Furniture Store in Mombasa?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


At Majengo Town Mombasa. 001
Mombasa