Karibuni wateja wetu tukiwa na punguzo la bei katika sikukuu ya wapendanao wahi mapema ujipatie offer hii kabambe 😎🙋
Majlis Furniture Center
Majlis is the main work shop located in Arusha specialized in Furniture made and design.
14/06/2017
Karibuni sana Majlis Furniture Center
Nihuduma nzuri na bidhaa imara na zakupendeza tunajivunia, hapa unapata furniture za aina zote
Karibu sasa upate aina mpya kabisa ya sofa yenye asili yake Uarabuni zinazoitwa Majlis Sofa
Nipamoja na furniture nyingine mbalimbali karibuni sana.
11/04/2017
Pendezesha Chumba chako kwa kitanda na bidhaa nzuri na halisi za mbao kutoka Majlis Furniture Center
https://majlisfurnitures.jimdo.com/bedroom/
04/04/2017
Karibu Majlis Furniture Center, kupitia tuvuti yetu unaweza kuchagua aina na design ya sofa, dining sets, kitanda, mito na vingine vingi, nakwakuwasiliana nasi unaweza kutueleza vile unapenda na ukapata kile unachokipenda.
Karibu MAJLIS FURNITURE CENTER popote karibu nawe
Name; Arusha
Street; Mosque street
Email: [email protected]
Call:+255 768 491 179/+255 676 479 902
Whats-app; +255 682 186 130
https://majlisfurnitures.jimdo.com
29/03/2017
MAJLIS FURNITURE CENTER workshop nzuri sana jijini Arusha, tunahusika na utengenezaji wa , ya aina mbalimabli, , , , kudesign shelfu za , na mapambo mengine mengi k**a vile ya milangoni, ukutani na ya madirisha.
KARIBUNI SANA;
24/03/2017
Pata Mto liani na imara sana kutoka Majlis
Kuwa sambamba na Offer zetu za msimu huu wa sikukuu ya
Kutoka Tsh 30,000/= sasa unaweza kununu mto kwa Tsh 25,000/=
Wasiliana nasi kwa simu namba +255 682 186 130
KARIBUNI SANA
20/03/2017
Furniture kutoka Majlis, karibu sana tuko Arusha mjini, katikati kabisa karibu na Khan Restaurant
K**a umeipenda piga tupigie simu na karibia kwenye workshop yetu,
Kwasimu,;- +255682186130
09/03/2017
Bidhaa sasa ipo sokoni piga simu ku book au kuchukua sofa yako, hiyo ni sofa halisi iliyo tengenezwa na Majlisi Furniture Center iliyowekwa katika hali ya ubora na uhakika pia ona vile inaweza onekana ikiwa katika seating room yako
Kupiga simu; +255682186130
Email. [email protected]
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Address
10472
Arusha
255