29/08/2020
Used & Good condition
The page is about online shopping,we are selling mobile phones and watches. Advertise your business at cheap price here.
29/08/2020
Used & Good condition
25/08/2020
Big Discount.
23/07/2020
Desktop computer (Heavy duty)
For Video editing,Graphic designing etc
Specifications
Processor 3.1GHz, Core i5
RAM 16Gb
HDD:1Terabite
Operating System:Windows 10
Monitor+Keyboard+Mouse
WhatsApp:0758297744
Call:0716824009
21/07/2020
FAIDA ZA BLACK CASTOR OIL( MNYONYO)
👉Hujaza nywele
👉Huzuia nywele kukatika
👉Huondoa mba
👉Hulainisha nywele
👉Hufanya nywele kua nzito
👉Hurefusha nywele
👉Hufanyia massage
👉Hufanya ngozi kua laini na yenye kuvutia
👉Hulainisha lipsi
👉Huimarisha kope
👉Hulainisha ngozi ya viganja
👉Huondoa magaga
Tupigie:0716824009
WhatsApp tu:0758297744
29/05/2020
https://www.youtube.com/watch?v=rFJBfufrh7o
Kwanini utumie bidhaa za asili kwa urembo? Wasiliana nasi kuweka oda ya bidhaa mbalimbali.0758297744
Ushauri wangu kwa wajasiriamali.Tumia kipindi hiki kigumu kujitangaza.Utanishukuru badae.
Tumia matangazo ya video.
27/03/2020
Jinsi ya kutengeneza hand sanitizer Jipatie miongozo mbalimbali ya kutengeneza bidhaa za viwandani. 0758297744
19/03/2020
Napokea meseji nyingi nikitumiwa formulation mbalimbali za kutengeneza hand sanitizer(Vitakasa) nakuambiwa nitoe neno juu ya hizo formula k**a Mkemia(Mtaalamu).Majibu ya maswali yote nimeyaweka kwenye muongozo maalumu.
Jambo la msingi narudia kwa wazalishaji na watumiaji wa sanitizer hakikisha bidhaa unayotumia
1.Ina alcohol(Ethanol kwa jina jingine Ethyl alcohol) isiyopungua asilimia sitini 60%.(Hiki nidyo kiwango cha tbs)
Pia kutokana na baadhi ya malighafi kuwa adimu sokoni.Nimetoa mbadala wa Ethanol endapo utakosa.
wasiliana nasi Pale umekwama:
Whatsapp: 0758297744
Call/Sms: 0716824009
Email: [email protected]
01/03/2020
31/01/2020
TENGENEZA KIPATO NA M1 BLACK CASTOR OIL
Mpenzi mdau wa urembo wa asili,tumekusogezea fursa maridhawa(Mafuta ya asili ya black castor oil)
FAIDA ZA MAFUTA HAYA.
(a)Yanarefusha nywele
(b)Yanazuia nywele kukaika
(c)Yanaondoa mba sugu
Bei ya jumla ni k**a ifuatavyo.
1.60mls (pc24) 36,000/=
2.120mls (pc12) 36,000/=
3.250ms (pc6) 42,000/=
Wasiliana nasi popote ulipo:0758297744
14/01/2020
Je! Unatamani kukuza nywele kwa njia ya vipodozi vya asili?
Black castor oil ni suluhisho,ni mafuta yaliyoandaliwa kwa njia ya asili.Hayana kemikali.
Tunatoa fursa ya uwakala mikoa yote.
Wasiliana nasi:0758297744
22/12/2019
OFA YA MWAKA KUWAHI KUTOKEA
Jipatie Mafuta ya M1 Black castor Oil kwa punguzo la bei msimu huu wa sikukuu.
Lita 20 Tsh 220,000/= Badala ya 250,000/=
Wasiliana Nasi mapema.