Secco Furniture

Secco Furniture

Share

Tunatengeneza| Tunauza| Tunaboresha.

07/02/2023

CUSTOMIZED SOFA BEDS.

- Vitanda imara na vya kisasa vya sofa vilivyo katika ubora kiwango cha juu.

- Vinapatikana katika kila rangi na ukubwa mbalimbali.

- Malighafi zilizotumika kuanzia mbao, godoro na vitambaa ni za daraja la juu na bora.

BEI : Tzs 250,000/- tu!

USAFIRI : Ni bure kwa maeneo ya jirani ndani ya jiji la DSM.

MAHALI : Tunapatikana Tabata-Muslim, DSM.

MAWASILIANO : 0785-771-845

KARIBU SANA.

Photos from Secco Furniture's post 23/08/2022

🔸 SOFA BEDS imara, za kisasa na zenye muonekano mzuri na kuvutia pia.

🔸 Vitanda hivi Vinapatikana katika rangi k**a:
- Black,
- Blue,
- White,
- Maroon [Damu ya mzee]
- Gray [Kijivu] n.k.

🔸SIZE [🛏️] : 'Futi' 5/6.

🔸 BEI [🏷️]: Tzs 250,000/- tu!

🔸 MAWASILIANO [☎️] : 0745-406-783.

🔸 MAHALI [📍] : Tabata-Muslim, Dar-es-salaam.

.

Want your business to be the top-listed Furniture Store in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam