Darkitchencenter

Darkitchencenter

Share

☆ Kitchen Cabinets, TV Unit, Wardrobes, Office Set, Bathroom Cabinets
Whatsapp/call +255717185050

23/05/2025

Moja ya kazi bora sana ya viwango vya hali ya juu ni hii hapa tena, usikubali wakuharibie muonekano wa ndani wa nyumba yako kwa kukuwekewa furniture mbovu wakati sisi tupo ili kuipa thamani nyumba yako.

Tutatembelea Site yako tutapima na tutakushauri/tutashauriana juu ya kipi bora kifanyike na baada ya hapo tuta design kwa program maalum ya 3D.

Karibuni sana
0717185050

12/11/2024

0717185050

12/11/2024
Photos from Darkitchencenter's post 10/10/2024

0717185050

Photos from Darkitchencenter's post 09/10/2024

Ubora haujifichi na mwenye macho haambiwi tazama wapendwa, kazi safi na hazina usumbufu we are more international, umanifu 100%, kukabidhiwa kazi yako ndani ya muda tutakaokuahidi ni 100%, tuamini tunaaminika.
0717185050

08/10/2024

Ndugu mteja, tunakutakia heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja. Wewe ni mteja wetu wa thamani sana na tunakushuru kwa kuchagua dar_Kitchen_Center. dar_Kitchen_Center: Ubora wa kazi, uaminifu na kukabidhi kazi kwa wakati tutakaokubaliana ndiyo nguzo muhimu kwetu.
0717185050

Photos from Darkitchencenter's post 07/10/2024

Always ubora ndio nguzo muhimu kwenye kazi zetu, uaminifu nao pamoja na kukabidhi kazi kwa wakati ni vipaumbele vyetu, karibu tukuhudumie
0717185050

Photos from Darkitchencenter's post 05/10/2024

Maisha ni furaha💃
Hakikisha ndani kwako unakua na products nzuri na bora k**a hizi ili kukamilisha furaha yako, karibu mahali ambapo thamani ya pesa yako inapewa heshima kubwa.
0717185050

Photos from Darkitchencenter's post 04/10/2024

Our available colors now! Mambo ni fire
0717185050

Want your business to be the top-listed Furniture Store in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Kawe, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam