Fenicha PopoteApp
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Fenicha PopoteApp, Furniture, Mikocheni, Dar es Salaam.
Karibu kwenye jukwaa la wauzaji na wanunuzi wa fenicha.hii ni fenichapopoteApp kupitia app unaweza kuuza na kununua fenicha za aina zote,mapambo na vifaa vya ujenzi kupitia App unaweza,kuongea ,ku chart,kuweka order .
09/06/2026
Je, wewe ni muuzaji wa fenicha, vifaa vya ujenzi au mapambo ya nyumbani?
Tumekuja na suluhisho la kukuza biashara yako na kupata wateja kwa urahisi. Sasa si lazima kuendelea kutumia gharama kubwa za matangazo bila kuona matokeo yanayoridhisha.
Jiunge na FenichapopoteApp na upate fursa ya kuonekana na maelfu ya wateja wanaotafuta bidhaa zako kila siku.
✅ Usajili ni BURE
✅ Hakuna gharama yoyote ya kujiunga
✅ Upload picha na maelezo ya bidhaa zako kwa urahisi
✅ Pokea oda na mawasiliano ya wateja moja kwa moja
Pakua FenichapopoteApp sasa kupitia Play Store na anza kuuza zaidi leo! 🪑🏠📱
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.fenicha.fenicha_popote
08/06/2026
Tunapatikana Mwenge, opposite Maghorofa ya Jeshi By Bolt. Pia unaweza kututafuta kupitia Google Maps kwa jina PLOWOOD FURNITURE.
📞 Wasiliana nasi: ☎️ +255 717 657 679 ☎️ +255 768 889 530
🏠 Tunatengeneza na kuuza furniture za ofisi, nyumbani, madukani na miradi mbalimbali kwa ubora unaokidhi mahitaji yako.
FenichapopoteApp,jukwaa la kuuza na kununua fenicha Tanzania
FenichaPopoteApp ni marketplace ya fenicha inayowaunganisha wanunuzi, wauzaji na mafundi wa fenicha Tanzania nzima. Tafuta sofa, vitanda, meza, makabati na fenicha nyingine kwa urahisi kupitia simu yako.
FenichaPopoteApp — Marketplace namba 1 Tanzania ya fenicha. Nunua, uza na tangaza fenicha popote ulipo.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mikocheni
Dar Es Salaam
08/06/2026