18/05/2023
💉
Kubadili kitambaa na muonekano wa sofabed.
KAZI :📌Kubadili kitanda na muonekano
SITE :📌Kariakoo
SIZE :📌5 Kwa 6
MUDA :📌Siku Mbili Tu.
Kwanini uwasiliane na sisi?
 1 :📌Unaepuka Gharama Za Kusafirisha Kitanda chako,Tunakuja Kutengenezea Nyumbani Kabisa.
2 :📌Malipo kamili yanafanyika baada ya kukabidhi kazi.
3 :📌Tunabadili Muonekano Wa Kitanda Chako Kiwe Vile Unataka Wewe(Yenye Uwezekano Ya Kubadilika Kimuonekano)
4 :📌Kitanda Chako Kinarudi Kwenye Ubora Wake Wa Mwanzo,Kinakua Mapyaaaa.
Wasiliana nasi sasa kupitia 0688695113 au bonyeza whatsapp baada ya kubonyeza kitufe cha contact kwenye bio yetu.
👌
22/06/2022
💉
Wazee wa Surgery Wameshafanya yao 🔥🔥
KAZI :📌Kubadili kitambaa kutoka plain(rangi mchanganyiko) na kuweka velvet(grey)
SITE :📌Kimara Mwisho
SETI :📌3:2:1
MUDA :📌Siku Moja Tu.
Kwanini uwasiliane na sisi?
 1 :📌Unaepuka Gharama Za Kusafirisha Masofa Yako,Tunakuja Kutengenezea Nyumbani Kabisa.
2 :📌Malipo kamili yanafanyika baada ya kukabidhi kazi.
3 :📌Tunabadili Muundo Wa Sofa Lako Liwe Vile Unataka Wewe(Yenye Uwezekano Ya Kubadilika Kimuundo)
4 :📌Masofa Yako Yanarudi Kwenye Ubora Wake Wa Mwanzo,Yanakua Mapyaaaa.
Wasiliana nasi sasa kupitia 0688695113 au bonyeza whatsapp baada ya kubonyeza kitufe cha contact kwenye bio yetu.
👌
10/05/2022
💉
Wazee wa Surgery wameshafanya yaooo
KAZI: 📌Kubadili kitambaa cha rangi Orange na kuweka cha rangi ya kijani.
SITE: 📌 Kimara S**a
MUDA: 📌 Siku moja tu.
Karibu kuweka order sebule yako ibadilike.
📌Uaminifu wa mali zako hata usipokuwepo nyumbani/ukimuacha muwakilishi✔
📌Kazi inafanyika ndani ya siku moja tu(Kutokana na muundo)✔
📌Malipo kamili ni baada ya kazi,hakuna kutuma advance kwa njia ya simu✔
📌Tunaleta huduma mpaka ulipo✔
Wasiliana nasi sasa 0688695113 au unaweza kubonyeza whatsapp baada ya kubonyeza kitufe cha contact kwenye bio yetu.
👌
10/05/2022
💉
Wazee wa Surgery wameshafanya yaoo🔥🔥
Kubadili kitambaa na muundo.
KAZI :📌Kubadili kitambaa kutoka valvet ya blue kwenda valvet ya grey kwenye kitanda na kubadili kitambaa kutoka plain ya grey na kuweka valvet ya dark blue na gold na muundo kwenye masofa.
SITE :📌Tabata Kinyerezi.
MUDA :📌siku 2 tu.
Bado tunapokea order,sikukuu zinakaribia.Badili muonekano wa masofa yako sasa usherehekee pamoja na familia kwenye sebule mupyaaa😃😃
Wasiliana nasi sasa 0688695113 au bonyeza whatsapp baada ya kubonyeza kitufe cha contact kwenye bio yetu.
👌
10/05/2022
💉
Wazee wa Surgery wameshafanya yaoo🔥🔥
KAZI :📌Kubadili kitambaa cha plain grey na kuweka valvet ya dark blue
SITE: 📌Mbezi Africana
MUDA: 📌Siku moja tu.
Hatubadili tu kitambaa,tunafumua sofa lote mpaka tunakutana na mbao kisha tunazirepair zilizolegea kabla ya kulipa sofa muonekano mpya.
Epuka zaidi ya asilimia 30 (30%)ya gharama za kununua masofa mapya.
Wasiliana nasi sasa 0688695113/Bonyeza whatsapp baada kubonyeza kitufe cha contact kwenye bio yetu.
👌
10/05/2022
💉
Wazee wa Surgery wameshafanya yaooo🔥🔥
KAZI :📌Tumebadili muundo wa seti ya 2:2 na kuwa L ya watu watano(kiungio kikitengenezwa)pia tumebadili kitambaa kutoka valvet ya cream na kuweka ya dark blue.
SITE :📌Ubungo Maziwa.
MUDA: 📌Siku moja tu.
Hatubadili tu kitambaa,tunafumua sofa lote mpaka tunakutana na mbao kisha tunazirepair zilizolegea kabla ya kulipa sofa muonekano mpya.
✔Tunakufata mpaka ulipo.
✔Malipo kamili ni baada ya kazi.
✔Uhakika wa usalama wa mali zako.
Msimu wa sikukuu ndo huo unakaribia,sherehekea ukiwa na muonekano mpyaaa kabisa.
Wasiliana nasi sasa 068869511 au bonyeza whatsapp baada ya kubonyeza kitufe cha contact kwenye bio yetu.
👌
06/05/2022
Tunarudisha Masofa Yaliyochakaa Na Kuharibika Kwenye Ubora Wake,Pia Tunabadili Mionekano Ya Masofa.
26/04/2022
💉
Wazee wa surgery wameshafanya yaoo🔥🔥🔥
KAZI :📌Kubadili kitambaa kutoka plain(Brown)kuweka velvet(dark brown/chocolate)
SITE :📌Kitunda Relini.
MUDA :📌Siku moja tu.
Bado tunaendelea kupokea order,karibu kuweka order yako sasa (0688695113).
1. Tunakufata mpaka ulipo✔
2. Usalama wa mali zako za ndani✔
3. Malipo kamili ni baada ya kazi✔
👌
03/04/2022
💉
Tunawatakia mfungk mwema wa Ramadhani.
👌