Furniture_kwa_mkopo

Furniture_kwa_mkopo

Share

TUNATENGENEZA NA KUUZA FURNITURE ( Wood & Steel) ZA MAJUMBANI AU MAOFISINI.....KAMA VILE MEZA, VITI, MAKABATI, MASHELF, SHOE RANKS, MILANGO, N.K

01/03/2022

If you can dream it
We can design it
0719983431

01/02/2022

Kwa mahitaji ya vitasa imara, handles na cylinder tucheki 0719983431

19/01/2022

Nyumbani kwa mteja
Satisfied customer
Gupigie📞0719983431 kwa mahitaji yako yote ya milango na furniture

13/01/2022

Huu ni mlqngo wa hospital
👉🏾ni rahisi kusafishika
👉🏾unaweza kuwa single au double
👉🏾Umepuliziwa dawa ya kuua vijidudu vya magonjwa

06/12/2021

Mlango wa zanzibar unawekewa handle hizi ndefubzinazoweza kufunga na kufunguo bila kujali uzito wa mlango

Pia handle hizi zinaleta muonekano mzuri kwenye mlango
Kwa mahitaji ya mlango na handle tuwasiliane 0719983431

Photos from Furniture_kwa_mkopo's post 01/12/2021

Tukisema tuna milangi ya aina zote tunamaanisha
Kwa upande wa hospitalini tuna huu x-ray door mahususi kwa ajili ya kukinga mionzi isiwafikie watu

Photos from Furniture_kwa_mkopo's post 01/12/2021

Tuna sale ya hizi armchairs
Karibu showroom ujibebee kwa bei ya kutupa
📞0719983431

26/11/2021

Entrace door
Supply by shutter only or complete

Photos from Furniture_kwa_mkopo's post 26/11/2021

Armchair zimetengenezwa na mbao ya mninga
Ziko na finishing nzuri
Zinapatikana showroom kwetu mwenge Josam house ground floor
📞0719983431

22/11/2021
19/11/2021

Armchair nzurri inapatikana showroom yetubkwa bei nafuu kabisa

Photos from Furniture_kwa_mkopo's post 19/11/2021

SKIA...ukitaka muonekano classic kwenye nyumba yako basi chukua mlango huu...best selling 🔥🔥
.
💫Zanzibar door, mbao ya mkongo au mninga na pattern za kisasa
💫Tuna milango ya aina zote kwa ufupi kila mwenye jengo anahitaji kuwasiliana nasi kwa ushauri na products nzuri..

💫Dinning table zipo za rangi mbalimbali pamoja na coffee table set..

💫Digital locks na vitasa vya kawaida

💫Furniture za ofisini na mashuleni utapata kutoka kwetu

📞0719983431/0719278606

Want your business to be the top-listed Furniture Store in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Mikocheni
Dar Es Salaam