Damiani Mushi

Damiani Mushi

Share

agriculture Baba

Mobile uploads 04/12/2024
Mobile uploads 04/12/2024

Camanda Muliro, HONGERA kwa kazi nzuri, lkn bado hujafika mbali zaidi kwa watekaji na wauaji wa viongozi mbali mbali ila hao hao wachunguze kwani wanaweza wakaka ni kundi moja hilo hilo

02/12/2024

๐Ÿ“Œ Namba za Feisal msimu huu mpaka

๐ŸŽฎMichezo 13
โšฝ๏ธ Mabao 4
๐ŸŽฏ Assist 5
โ›ณ Jumla amehusika katika mabao 9

๐Ÿ“Œ Kwa wazawa Feisal ndiyo mchezaji aliyehusika kwenye mabao mengi kwenye ligi kuu soka Tanzania bara (NBCPL)

๐Ÿ“Œ kiujumla Fei analingana na Jean Ahoua wa Simba ambaye pia amehusika kwenye mabao 9 akifunga (5) na kutengeneza (4)

๐Ÿ“ŒJe msimu huu ushindi ni wa Fei na Ahoua ?


02/12/2024
02/12/2024

ALIYEKUWA Kocha wa Singida Black Stars, Patrick Aussems amewashukia waajiri wake hao wa zamani kwa kuwaita watu wasio na weledi.
-
Katika maelezo yake kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram, Aussems amesema kilichomng'oa yeye na Msaidizi wake, Dennis Katambi klabuni hapo si matokeo mabaya bali kutoelewana na uongozi klabuni humo.
-
Kocha huyo ameongeza kwa kuwashukuru Watanzania kwa mapenzi waliyompa katika muda aliokuwa hapa nchini huku akionesha kushangazwa na ukarimu wa mashabiki wa Simba pamoja na wengine.
-
Soma zaidi katika Website ya SpotiLeo https://spotileo.co.tz/
-

02/12/2024

Nyumba kwanza, ili nipate eneo la kuhifadhi gari yenyewe

Photos from ITV Tanzania's post 02/12/2024
Want your business to be the top-listed Furniture Store in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Mbezi/sakuzi
Dar Es Salaam
NILL