17/05/2026
Charasi Works Shop TZ.
Welding, Alluminium &Ferniture
Contact no: +255 655 290 900
+255 784 235 747
17/05/2026
Leo wakubwa wasipo angalia wataondolewa na kuikosa finally ya mapinduzi muda utaongea😂
22/04/2026
🫵🏽Tabia ni k**a ukweli. Ikiwa ni mbovu, usipoiona leo, hasara yake itaendelea kujitokeza taratibu. Utajikuta unaishi kwenye mikosi, matatizo na maisha yasiyo na matokeo mema, huku bila kujua kuwa chanzo ni tabia zako. Mwishowe utaishia kulaumu watu wengine, kumbe tatizo ni wewe mwenyewe.
Na ikiwa tabia zako ni njema, hata k**a hutaona matokeo mazuri haraka, taratibu utajikuta unaishi vizuri na watu. Changamoto na matatizo hayatakuandama sana. Kuna wakati utaona k**a Mungu yupo pamoja nawe, kumbe ni daraja la tabia njema linalojenga mahusiano mazuri na watu, na mema hujitokeza bila wasiwasi.
Ujumbe mkuu:
Tabia njema hujenga maisha mazuri, tabia mbovu huharibu maisha kimyakimya.
By Charasiwaverse 🇹🇿 Kitabu 📖 Kifunzacho ✍🏾 Watiifu
Kwa mahitaji ya mein geti za kisasa madirisha vitanda bembea milango ya kisasa n.k karibuni sana Charasi Works Shop TZ. Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0655290900/ 0756290900
19/04/2026
Kwa uhitaji wa mageti ya kisasa madirisha vitanda bembea milango ya kisasa n.k karibu Charasi workshop Tz kwa mawasiliano zaidi tupigie 0655290900/0756290900
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Chrasigotha@yahoo. Com
Dar Es Salaam