Imetengenezwa kwa mbao ya Mninga, ikiwa na finishing bora na design ya kuvutia. β¨
Mgeni akifika kwako, akutane na samani zinazojieleza kwa ubora sio malonyalonya tu! π
π‘ Nyumba nzuri inastahili samani bora.
π² 0625 484 833 | 0712 918 877
π Keko, Changβombe β Dar es Salaam
AnayahFurnitures
Karibu Naya furniture watengenezaji na wauzaji wa furniture za Maofisini na Majumbani . Quality Furniture for Quality Living
Tunajali ubora wa kazi na muda
Imetengenezwa kwa viwango vya juu sana, kwa ajili ya familia inayothamini ubora, comfort na muonekano wa kifahari.
β¨ Seat zake zina space nzuri zinakupa comfort unapokaa.
β¨ Modern & Luxury Design inabadilisha kabisa muonekano wa sebule yako.
β¨ Fabric + Leather combination inayoongeza class, elegance na utajiri wa muonekano ndani ya nyumba yako. π€
Hii sio sofa ya kuangalia tuβ¦ ni sofa ya kuipa sebule yako hadhi. π₯
π Ipo dukani njoo uione, ulipie na ubebe kitu bora kwa familia yako.
π² WhatsApp/Call: 0625 484 833 | 0712 918 877
π Keko, Changβombe β Dar es Salaam
Naya Furnitures β Transforming Living Rooms. π‘β¨
Ikiwa unatafuta sofa yenye muonekano wa kisasa, faraja na uimara, Fabric + Leather ni chaguo sahihi.
Faida zake:
β
1. Muonekano wa kifahari Mchanganyiko wa fabric na leather huipa sebule yako mwonekano wa kisasa na wa kuvutia.
β
2. Faraja ya matumizi Fabric huongeza comfort wakati leather huipa sofa finishing ya kipekee.
β
3. Uimara Ukichagua materials zenye ubora na sofa ikatengenezwa vizuri, inaweza kudumu kwa muda mrefu huku ikiendelea kuonekana nzuri.
Je, unahitaji ushauri wa kuchagua sofa inayofaa nyumba na budget yako?
π² Call/WhatsApp: 0625 484 833 0712 918 877
π Naya Furnitures Keko, Chang'ombe β Dar es Salaam
β¨ Transforming Living Rooms
π½οΈ Jikoni Nadhifu Huanzia na Kabati Bora
Badili muonekano wa jikoni yako kwa kabati la kisasa lenye nafasi ya kutosha na muundo unaorahisisha matumizi ya kila siku.
Faida zake:
β
Nafasi kubwa ya kuhifadhi vyombo na vifaa vya jikoni.
β
Muundo wa kisasa unaoongeza uzuri wa nyumba.
β
Finishing ya hali ya juu.
β
Hutengenezwa kulingana na vipimo na mahitaji yako.
π Tunatengeneza kwa order kulingana na nafasi ya jikoni yako na design unayoipenda.
π² Wasiliana nasi leo kwa ushauri na quotation.
π Call/ WhatsApp: 0625 484 833 0712 918 877
π Keko, Chang'ombe β Dar es Salaam
Naya Furnitures Transforming Living Rooms.
Ni 3:2:1 Recliner Sofa Set, iliyoundwa kwa ajili ya wanaopenda comfort, elegance na luxury.
β
Muundo wa kisasa
β
Faraja ya hali ya juu
β
Materials zenye ubora
β
Inatengenezwa kulingana na mahitaji yako
π² Wasiliana nasi leo kupata ushauri na quotation.
Call/WhatsApp:
π 0625 484 833
π 0712 918 877
π Keko, Chang'ombe β Dar es Salaam
Naya Furnitures
Transforming Living Rooms.
β¨ Kabati Bora Huanzia Kwenye Ubora wa Material na Design.
Kabati letu limetengenezwa kwa mbao bora na muundo wa kisasa ili kukupa:
β
Muonekano wa kifahari kwa chumba chako. β
Nafasi ya kutosha ya kuhifadhi nguo na vifaa vyako. β
Uimara wa kudumu kwa matumizi ya kila siku. β
Finishing ya hali ya juu inayoongeza thamani ya nyumba yako.
πͺ΅ Tunatengeneza kwa order kulingana na vipimo, design na rangi unayoipenda.
π² Wasiliana nasi leo kwa ushauri na quotation.
π Call/WhatsApp: 0625 484 833 0712 918 877
π Keko, Chang'ombe β Dar es Salaam
Naya Furnitures Transforming Living Rooms
Kabla ya kufanya uamuzi, zingatia mambo haya matatu muhimu:
β
1. Chagua kitambaa kinachofaa matumizi yako na kinachoendana na muonekano wa nyumba yako.
β
2. Chagua sofa inayolingana na budget yako bila kuathiri ubora.
β
3. Hakikisha sofa ina frame imara na finishing ya hali ya juu ili idumu kwa miaka mingi.
Leo tunakuletea Presidential Sofa Set mchanganyiko wa luxury, elegance na comfort, ulioundwa kuipa sebule yako mwonekano wa kifahari na wa kisasa.
π© Unahitaji ushauri wa kuchagua sofa inayokufaa?
Wasiliana nasi leo kupitia:
π Call/WhatsApp:
0625 484 833
0712 918 877
Tutakushauri kulingana na: βοΈ Ukubwa wa sebule yako
βοΈ Design unayoipenda
βοΈ Budget yako
πNaya Furnitures
Transforming Living Rooms.
Kabla ya kufanya uamuzi, zingatia mambo haya:
β
1. Kukosa ushauri wa kitaalamu kabla ya kuchagua sofa.
β
2. Kuchagua design isiyoendana na nafasi na muonekano wa nyumba yako.
β
3. Kununua bila kuzingatia budget, jambo linaloweza kukufanya ulipe zaidi kuliko ulivyopanga.
ποΈ Naya Furnitures ipo kukusaidia kupata sofa inayokidhi: βοΈ Mahitaji yako βοΈ Muonekano wa nyumba yako βοΈ Budget yako
π² Wasiliana nasi leo: π 0625 484 833 π 0712 918 877
π Keko, Chang'ombe β Dar es Salaam
Naya Furnitures Transforming Living Rooms.
Ukiwa unatafuta comfort, elegance na ubora, hii ndiyo chaguo sahihi kwa sebule yako.
βοΈ Frame ya Mninga halisi βοΈ Premium Fabric βοΈ Spring Belt kwa faraja na uimara βοΈ Godoro la Dodoma lenye comfort ya hali ya juu
β¨ Tunatengeneza kwa order kulingana na design, rangi na vipimo unavyopenda.
π² Call/WhatsApp:
0625 484 833 | 0712 918 877
π Keko, Chang'ombe β Dar es Salaam
Naya Furnitures
Transforming Living Rooms.
ποΈ Ubunifu unapokutana na ubora.
Kila bidhaa tunayoitengeneza ni mchanganyiko wa muundo wa kipekee, ufundi wa hali ya juu na umakini mkubwa kwa kila undani. β¨
π₯ Tunakuletea siyo tu samani nzuri, bali bidhaa yenye ubora, thamani na uimara unaodumu kwa miaka mingi.
ποΈ Chagua ubora, chagua thamani, chagua tofauti.
π Kwa mawasiliano zaidi:
0625 484 833 / 0712 918 877
π Keko Chang'ombe, Dar es Salaam
MadeInTanzania π‘β¨
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Keko, Chang'ombe
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 19:00 |
| Tuesday | 09:00 - 19:00 |
| Wednesday | 09:00 - 19:00 |
| Thursday | 09:00 - 19:00 |
| Friday | 09:00 - 19:00 |
| Saturday | 09:00 - 18:00 |
| Sunday | 09:00 - 17:00 |