10/02/2023
Maziwa fresh na mtindi original kutoka shamba yanapatika kwa order!
*hayajaongezwa maji
*hayana dawa
*mazito full cream
* hayajachemshwa
*hayana harufu mbaya
*hayajaongezwa mafuta.
*Mazuri sana kwa afya ya familia nzima
* full cream yana matokeo makubwa kwa watengenezaji wa bidhaa za urembo na siagi
* Tunafanya free delivery kwa walioweka order mapema
* tunauza kuanzia lita 5 kwa bei ya
* FRESH 13,000
* MTINDI 15,000
Vile vile tuna kuku na mayai kienyeji, migebuka, sangara na ndizi mzuzu!
+255 653 862 085 NDIO NAMBA YA BAHATI.
10/05/2018
Tumefungua Dry cleaner mpya Ubungo Ofa hii ni kwa kipindi maalumu cha ufunguzi tu wahi mapema.
Kufua kukausha na kukunja kwa Tsh 500 tu
Kunyoosha kwa Tsh 500 tu
Tunafata nguo na kurudisha popote ulipo dar buree tupigie 0765539922 au 0625513614.
Huduma zetu ni express iwe jua au mvua tuna machine za kisasa hivyo tutaleta ndani ya saa 24.
Karibu ufurahie huduma zetu nzuri na ufurahie bei zetu rafiki kabisa.
10/05/2018
Kufua, kukausha na kukunja kwa Tsh 500 tu kwa nguo za kawaida. Free pick up and delivery.
Piga 0765539922 au 0625513614. Huduma ni ndani ya saa 24 tu. Karibu popote Dar es Salaam
10/05/2018
Only for 500 tsh per cloth
10/05/2018
Karibu tukuhudumie kwa huduma za kufua na kunyoosha. Vile vile tunafanya free pick up and delivery.
Kufua kwa tsh 500 tu.
Kunyoosha kwa 500 tu.
Mteja una uhuru wa kuchagua tukufulie kwa machine au kea mkono.
Iwe jua iwe mvua utapata nguo zako safi ndani ya saa 24 tu.