GO

GO

Share

Cleaning & Facility Management : Commercial & Residential Cleaning, We clean Sofa, Couch, Mattress, Carpets etc , We offer Fumigation & Gardening Services

GO Dar es Salaam website is the ultimate insider guide to Tanzania’s top entertainment and lifestyle experiences. Focusing mainly on Dar es Salaam’s best restaurants, nightlife, films, art, latest DJ gigs, concerts, dining promotions, things to do and places to visit. GO Dar es Salaam compiles the best the city has to offer through its vast network of professional local and international writers,

26/06/2026

🛋️ SOFA YAKO INASTAHILI MNG'AO MPYA!
Unataka Sofa yako lirudi kuwa safi, laini, na lenye mvuto k**a jipya?
CLEANEX inakuletea huduma ya usafi wa kitaalamu wa sofa popote ulipo, hapohapo nyumbani kwako!

🚐 Tunakufata bila malipo ya ziada!
⚡ Tunatumia mashine za kisasa, shampoo + dawa salama kwa familia na watoto.

TUPIGIE 0765 250 217 OR WHATSAPP 0765 250 217

🎉 OFFER KWA WATEJA WA INSTAGRAM & WHATSAPP!

💺 Bei zetu za ofa ni hizi hapa:

👥 Sofa ya watu 8 – Tsh 120,000

👥 Sofa ya watu 7 – Tsh 105,000

👥 Sofa ya watu 6 – Tsh 90,000

👥 Sofa ya watu 5 – Tsh 75,000

👥 Sofa ya watu 4 – Tsh 60,000

👥 Sofa ya watu 3 – Tsh 45,000

👥 Sofa ya watu 2 – Tsh 35,000

👤 Sofa ya mtu 1 – Tsh 20,000

TUPIGIE 0765 250 217 OR WHATSAPP 0765 250 217

🧼 Huduma Yetu Inajumuisha: ✔️ Kuondoa vumbi, madoa, harufu mbaya
✔️ Mashine ya kisasa + dawa salama
✔️ Kazi safi, ya haraka na ya uhakika!

TUPIGIE 0765 250 217 OR WHATSAPP 0765 250 217

📢 Nafasi ni chache kwa leo na kesho!
📲 Tuma ujumbe sasa hivi WhatsApp ili kuweka booking yako:

1️⃣ Sofa ya watu wangapi
2️⃣ Mtaa unaopatikana
3️⃣ Muda unaokufaa (leo/kesho/week hii)

⏳ Ukiwasiliana mapema, unahudumiwa mapema!
👉 Simu au WhatsApp 0765250217

✅ Mamia ya wateja hutuhudumia kila wiki sasa ni zamu yako!
✨ Sofa yako itakurudishia tabasamu!

23/06/2026

✨ Nyumba Yako Inastahili Kung’aa Kila Siku! ✨

Umechoka na uchafu, vumbi na kazi za nyumbani zisizoisha?
Tuachie sisi, wewe pumzika! 🧼

Tunatoa huduma za usafi wa kitaalamu hapa Dar es Salaam:
✔️ Nyumba yako itakuwa safi, yenye harufu nzuri na inayong’aa
✔️ Tuna timu ya kuaminika na yenye uzoefu
✔️ Bei zetu ni nafuu huku ukipata huduma bora kabisa

👉 Tunahakikisha unarudi nyumbani kwenye mazingira safi na yenye utulivu kila siku.

📞 Wasiliana nasi sasa, nafasi zinajaa haraka!

Piga au WhatsApp: 0765 250 217

Usafi bila stress. Maisha rahisi zaidi. 💙

Want your business to be the top-listed Furniture Store in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Cleanex Head Office
Dar Es Salaam