12/04/2026
Karibu sana Ruby Furniture π₯
Unatafuta meza bora ya ofisi au biashara yako? Sisi ndo solution yako π―
Tunatengeneza meza zetu wenyewe kwa kutumia high quality melamine boards β hazishiki maji, ni imara, na zinadumu muda mrefu sana.
Pia tunazo modern imported desks (za kichina) zenye muonekano wa kisasa kabisa β¨ zitakupa ofisi yako ile professional look unayotaka.
β Custom designs available β tunakutengenezea design yoyote unayotaka
β Ubunifu wa kisasa + finishing safi
β Bei nafuu, quality ya juu
β Delivery available Dar es Salaam π
Usisubiri! Weka oda yako leo π
Mzigo upo tayari na pia tunatengeneza kulingana na taste yako β unajua mwenyewe π
Ruby Furniture β Quality you can trust πΌ
25/02/2026
Karibu Robby Furniture upate meza za ofisi zenye mvuto na uimara wa hali ya juu πΌβ¨
Tunazo dizaini tofauti tofauti β za kisasa, za kifahari, za executive hadi za kawaida. Unachagua design unayotaka, sisi tunakuja kufanya installation mpaka ofisini kwako π§β
Hakuna stress yoyote!
Kuanzia ufundi, usafirishaji hadi ufungaji β gharama zote ni juu yetu.
Tunatengeneza meza imara, nzuri na bora kabisa kwa office yako π
Quality yetu ni ya kuaminika na finishing ni safi sana.
π Karibu Magomeni β Dar es Salaam
π© Tuma DM au piga simu uagize leo
Robby Furniture β Meza imara na bora kwa ofisi yako
18/02/2026
300,000 Local chair
Call us 0695066045πβοΈ
13/02/2026
Bench 300,000tshβ
Call us 0695066045πβοΈ
ππDar magomeni kagera
12/02/2026
MEZA OFISINI KWA BEI NAFUU KABISAA WEKA ODA YAKO SASA
TUPO MAGOMENI KAGERA NA SINZA MAKABURINIπ―πβ
0695066045πβοΈ