Majenjema Construction Ltd

Majenjema Construction Ltd

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Majenjema Construction Ltd, Furniture shop, Posta, Mtaa wa Indiragandhi, Dar es Salaam.

31/07/2024

Unahitaji mapazia yenye ubora wa juu?

Tunayo suluhisho bora kwa ajili yako! Mapazia yetu yanaweza kutumika sehemu mbalimbali k**a:

Nyumbani ✅✅
Hoteli ✅✅
Ofisi ✅✅
Migahawa ✅✅

Zinapatikana kwa rangi tofauti na bei kwa kila mita ya mraba.

📞 Wasiliana nasi sasa kwa namba 0713 181 118

Ili upate mapazia yako leo!

Photos from Majenjema Construction Ltd's post 31/07/2024

Unahitaji mapazia yenye ubora wa juu?

Tunayo suluhisho bora kwa ajili yako! Mapazia yetu yanaweza kutumika sehemu mbalimbali k**a:

Nyumbani ✅✅
Hoteli ✅✅
Ofisi ✅✅
Migahawa ✅✅

Zinapatikana kwa rangi tofauti na bei kwa kila mita ya mraba.

📞 Wasiliana nasi sasa kwa namba 0713 181 118

Ili upate mapazia yako leo!

31/07/2024

Je, wajua? 🌟 Majenjema Construction ni mabingwa Kutengeneza Ferniture,
Ujenzi na Ukarabati wa Majengo, Kusambaza na kufunga Office curtain nk. wa sasa! 🏆

Tunajivunia kutoa huduma bora zaidi katika sekta ya ujenzi, kutoka kwa miradi midogo hadi mikubwa. 📐🏠

✅ Ubora usio na kifani
✅ Timu yenye uzoefu na ujuzi
✅ Miradi iliyokamilishwa kwa wakati na bajeti

Ungana nasi leo na tujenge ndoto zako pamoja! 💪

📞 Kwa kupiga namba 0713 181 118.

Tunapatikana Dar es Salaam, Tanzania, Posta Mtaa wa Indiragandhi

Photos from Majenjema Construction Ltd's post 29/07/2024

Tunatoa huduma za uwekaji wa mapazia ya ofisini ya aina zote!

🏢Kama unahitaji kuboresha ofisi yako na mapazia bora, wasiliana nasi sasa kwa namba 0713 181 118. 📞

Tunapatikana Dar es Salaam, Tanzania, Posta, Mtaa wa Indiragandhi.

29/07/2024

Kusafisha mapazia ya ofisini, ni muhimu kwa sababu kunaweza kuwa na madhara kadhaa kiafya ikiwa hayatasafishwa mara kwa mara.

Hapa kuna baadhi ya madhara yanayoweza kujitokeza:

Mkusanyiko wa vumbi: Roller curtains ambazo hazijasafishwa zinaweza kukusanya vumbi, ambalo linaweza kusababisha matatizo ya kupumua, k**a vile pumu, mzio (allergies), na kuziba kwa pua.

Bakteria na fangasi: Mazingira yenye unyevunyevu yanaweza kusababisha ukuaji wa bakteria na fangasi kwenye mapazia.

Hii inaweza kusababisha maambukizi ya ngozi na matatizo ya kupumua, k**a vile athma na bronchitis.

Mite wa vumbi: Vumbi linaweza kuwa na mite ambao ni wadudu wadogo wanaosababisha mzio.

Hii inaweza kusababisha dalili k**a vile kuumwa na koo, macho ya maji, na kuwasha kwa ngozi.

Kemikali za kusafisha: Wakati mwingine kemikali zinazotumika kusafisha mapazia zinaweza kuwa na madhara kiafya k**a zinaingizwa au zinaguswa moja kwa moja na ngozi.

Ni muhimu kutumia kemikali ambazo ni salama na kufuata maelekezo kwa uangalifu.

Kwa kutumia huduma za Majenjea Construction, ofisi yako itakuwa katika hali ya usafi wa hali ya juu, na hii itapunguza au kuondoa kabisa madhara ya kiafya yanayoweza kujitokeza kutokana na mapazia machafu.

Huduma hizi zinajumuisha kusafisha kwa ufanisi na kupiga dawa maalumu za kuzuia magonjwa, kuhakikisha afya bora kwa wafanyakazi wote.

📞Wasiliana nasi sasa kwa namba 0713 181 118.

Tunapatikana Dar es Salaam, Tanzania, Posta Mtaa wa Indiragandhi.

Photos from Majenjema Construction Ltd's post 29/07/2024

Unatafuta fenicha nzuri zenye nakshi za urembo wa asili ya Kiafrika?

Tafuta isibari! 🌍🛋️

Wasiliana nasi kwa namba
0713 181 118 kwa fenicha za kipekee zinazochanganya uzuri wa jadi na ubora wa kisasa.

Tunapatikana Dar es Salaam, Tanzania, Posta, Mtaa wa Indiragandhi.

Photos from Majenjema Construction Ltd's post 23/07/2024

Boresha muonekano wa ofisi yako na fenicha za kisasa kutoka Majenjema Furniture!!

Unatafuta fenicha za kisasa na za kuvutia kwa ajili ya ofisi yako?

Sisi ndio suluhisho lako!

Ubora wa Juu: Fenicha zetu zinatengenezwa kwa ustadi na ubunifu wa hali ya juu.

Muonekano Bora: Pata design za kisasa zinazoongeza uzuri na hadhi ya ofisi yako.

Bei Nafuu: Fenicha bora kwa bei unayoweza kumudu.

Usikubali ofisi yako iwe na muonekano wa kawaida.

Weka hadhi na mvuto kwa fenicha zetu za kipekee!

📞 Wasiliana nasi sasa kwa namba 0713 181 118.

Tunapatikana Dar es Salaam, Tanzania, Posta Mtaa wa Indiragandhi.

Photos from Majenjema Construction Ltd's post 23/07/2024

natafuta nyumba ya kisasa yenye muonekano wa kuvutia?

Majenjema Construction tunajenga nyumba za kisasa na tunatoa huduma za design za ndani ili kupata muonekano wa kisasa na wa kipekee.

Ubunifu wa Hali ya Juu: Tunatumia mbinu za kisasa na vifaa bora.

Huduma Bora: Tunajali mahitaji yako na kuhakikisha unapata nyumba ya ndoto zako.

Usikubali nyumba yako iwe ya kawaida. Jenga na sisi kwa ubora na mvuto wa kipekee!

📞Wasiliana nasi sasa kwa namba 0713 181 118.

Tunapatikana Dar es Salaam, Tanzania, Posta Mtaa wa Indiragandhi.

Want your business to be the top-listed Furniture Store in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Posta, Mtaa Wa Indiragandhi
Dar Es Salaam