Phyto Science Tanzania

Phyto Science Tanzania

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Phyto Science Tanzania, Mlimani City, Dar es Salaam.

Photos from Phyto Science Tanzania's post 07/02/2018
18/01/2018
Photos from Phyto Science Tanzania's post 21/09/2017

PHYTO SCIENCE INAGUSAJE AFYA YAKO NA KIPATO CHAKO - PART I

UTANGULIZI

HII Ni Kampuni Kutoka Malaysia inayouza bidhaa za afya na urembo.

Ina bidhaa zake ambazo ni za virutubisho, ambazo zimekuwa msaada mkubwa sana kwa wagonjwa wa Sukari, cancer, pressure, n.k

Kuna bidhaa za kuondoa sumu mwilini

Kuna bidhaa za kupunguza unene ambazo hukata mafuta mwilini

Pia wana bidha za urembo ambazo mbali na kuboresha mwonekano, hulinda na kuirutubisha ngozi yako

UPEKEE WA PHYTOSCIENCE NA KAMPUNI YOYOTE ILE UNAYOIJUA

👉Ubora wa bidhaa (Miracle Products) zinazosaidia matatizo mbalimbali katika mwili wa binadam k**a Cancer, Kisukari, Pressure, Vidonda vya tumbo, Matatizo ya ngozi, n.k zilizopitishwa na mamlaka husika za kimataifa na hapa nchini

👉Hatulazimiki kuuza bidhaa za kampuni ili tulipwe, kikubwa tunachokifanya ni kuonyesha fursa iliyopo nyuma ya products zetu

👉Malipo makubwa kuliko kampuni yoyote iliyowahi kutufikia

👉Mfumo unaturuhusu kusaidiana hivyo kufanikiwa kwa pamoja

👉Imesajiliwa kisheria na inatambulika na mamlaka zote husika za nchi

Mawasiliano 0743753520

Photos from Phyto Science Tanzania's post 13/09/2017

MCHANGANUO WA DIRECT BONUS!!!

Direct Bonus utalipwa kulingana na Package unayomiliki mwenyewe pia kulingana na mtu unayemuingiza!

Kimsingi Unatakiwa kulipwa 40% ya Point za package utakayoiingiza lakini vigezo ni pale ambapo wewe unamiliki package sawa na unayoiingiza au umeipita package unayoiingiza..

Tuzichambue hizi Direct Bonus kwa kuzingatia kila Package

Silver akiingiza
Silver= $30 (675000)
Gold= $88 (198,000)
J.Mobile= $120 (270,000)
Mobile= $176 (396,000)

Gold akiingiza
Silver= $30 (67500)
Gold= $176 (396,000)
J.Mobile= $210 (472,500)
Mobile= $294 (661,500)

Junior Mobile akiingiza
Silver= $30 (67500)
Gold= $176 (396,000)
J.Mobile= $294 (661,500)
Mobile= $441 (992,250)

Mobile akiingiza
Silver= $30 (67500)
Gold= $176 (396,000)
J.Mobile= $294 (661,500)
Mobile= $588 (1,323,000)

Piga 0743753520

Nzuamukende John Musembe

13/09/2017

DIRECT BONUS

Package inaposajiliwa tu kampuni inarelease 40% ya point za package husika ili kulipa mtu aliyeiingiza...

40% ya point (PP) za package ni
$30 (67500) kwa Silver
$176 (396,000) kwa Gold
$294 (661,500) kwa Junior Mobile
$588 (1,323,000) kwa Mobile

Bonus hii utalipwa pindi tu unapomaliza usajili wa mtu wako!!!

Pia utalipwa tena Direct Bonus pale mtu wako atakapo upgrade
Nzuamukende John Musembe

Photos from Phyto Science Tanzania's post 28/08/2017

Huyu ni Nzuamukende John Musembe aliyeweza kutengeneza zaidi ya $220(Tsh 495,000/=) ndani ya Siku 3 kupitia Kampuni ya Phyto Science akianza na mtaji wa Tshs 300,000/= pekee tangu ajiunge 26 August 2017. Kila kitu kinataka utubutu pekee. Thubutu leo kujiunga Phyto Science ufikie ndoto zako. Piga namba 0743 753 520 / 0676 452 990 kupata fursa hii.

Want your business to be the top-listed Furniture Store in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Mlimani City
Dar Es Salaam
32706