26/12/2018
Unapotumia SimAccount kulipia Ankara au kulipa bidhaa mbalimbali msimu huu wa sikukuu unajiongezea nafasi za kujishindia kwenye droo ya Shinda na SimAccount ambayo tunaichezesha kila Alhamis
Swali ni je Umejisajili?
Umekamilisha Usajili wako?
K**a bado Piga *150*62 # Sasa
Simu yako, Akaunti Yako
25/12/2018
Msimu huu wa Sikukuu tumia kulipia bidhaa kwenye maduka yote utakayokuta nembo inayosomeka LIPA Kwa hapa *150*62 #
Kulipia bidhaa ni bure, hakuna fedha ya ziada ukayochajiwa, itakurahisishia manunuzi na pia kutunza mahesabu na kuepuka wizi unaweza kujitokeza pale unapotembea na fedha taslimu, Unaweza kulipia bili ukiwa mahali popote wakati wowote na mwisho hauhitaji kubeba fedha taslimu
Tunawatakia Christmas Njema wateja wote wa
21/12/2018
Washindi wetu wa droo ya na leo tarehe 21/12/18 waliojinyakulia kitita cha TZS 2,000,000 na mwingine TZS 1,000,000 wengine hamjachelewa jiungeni leo kwa kupiga *150*62 # k**a una swali uliza kupitia page zetu za Facebook na Twitter na Instagram
06/12/2018
Washindi wetu wa droo ya leo tarehe 06/12/18
Swali kubwa la msingi unalotakiwa kujiuliza ni kwamba, umejisajili?
Na k**a ndio, umemaliza usajili wako?
K**a sio hujachelewa...
Jisajili au Malizia usajili wako leo ili number ya bahati *150*62 # iwe yako
K**a una swali ni wakati wako sasa wa kuuliza kwenye kurasa zetu za instagram na twitter
05/12/2018
Kila ALHAMIS kunakuwepo na Droo ya Shinda na SimAccount *150*62 # bila kusahau kujiunga ni bureeeeeee ..
Swali kubwa la msingi unalotakiwa kujiuliza ni kwamba, umejisajili?
Na k**a ndio, umemaliza usajili wako?
K**a sio hujachelewa...
Jisajili au Malizia usajili wako leo ili number ya bahati *150*62 # iwe yako
K**a una swali ni wakati wako sasa wa kuuliza
03/12/2018
AKAUNTI YA VIKUNDI NA SIMACCOUNT *150*62 #
Akaunti ya vikundi ni moja ya huduma inayopatikana kwenye SimAccount.
Akaunti hii mahsusi kwa ajili ya watu waliojiunga kwa pamoja wakiwa na lengo la kuchanga fedha ili kufikia malengo fulani waliojiwekea.
Inaweza ikiwa ni kikundi katika mfumo wa vikoba, kusaidiana, kuwezeshana nk.
Wanachama watakapofungua akaunti hii wataweza
1. Kuhifadhi fedha kwenye akaunti ya kikundi.
2. Kuchangia/ kuweka fedha kwenye akaunti ya kikundi.
3. Kukopa au kutoa fedha kutoka kwenye akaunti ya kikundi kwa ridhaa ya wanachama.
4. Kurejesha fedha iliyokopwa toka akaunti ya kikundi kadri wanachama walivyokubalina.
5. Kuangalia salio la akaunti ya kikundi, kupata taarifa fupi na ndefu ya michango ya wanachama, na mahesabu yote yanayohusu akaunti ya kikundi.
6. Kupendekeza, kumuondoa na kuchagua kiongozi mpya wa kikundi
02/12/2018
ILI UINGIE KWENYE DROO YA SHINDA NA SIMACCOUNT Lazima uwe na umri sio chini ya miaka 18, uwe unamiliki simu ya mkononi iliyosajiliwa kwa kufuata sheria na taratibu za nchi.
Lazima uwe umesajiliwa Katika huduma ya SimAccountk**a una swali zaidi ni wakati wako wa kuuliza kwenye Instagram page au page
29/11/2018
Kila ALHAMIS kunakuwepo na Droo ya Shinda na SimAccount *150*62 # bila kusahau kujiunga ni bureeeeeee
.swali kubwa la msingi unalotakiwa kujiuliza ni kwamba, umejisajili?
Na k**a ndio, umemaliza usajili wako?
K**a sio hujachelewa...
Jisajili au Malizia usajili wako leo ili number ya bahati *150*62 # iwe yako
K**a una swali ni wakati wako sasa wa kuuliza
27/11/2018
Wiki nyingine ya ushindi ndio hiyooo inakuja, ambapo zawadi ya fedha taslimu mpaka milioni mbili itazawadiwa kwa mshindi mmoja mwenye bahati.
..swali kubwa la msingi unalotakiwa kujiuliza ni kwamba, umejisajili?
Na k**a ndio, umemaliza usajili wako?
K**a sio hujachelewa...
Jisajili au Malizia usajili wako leo ili number ya bahati *150*62 # iwe yako
K**a una swali ni wakati wako sasa wa kuuliza SimAccount , Crdb Simaccount
24/11/2018