Furnitures_tz

Furnitures_tz

Share

Tunatengeneza bidhaa zote za mbao

16/03/2022

Ndo hivyooo,kaona ni bei.

Sasa kilichomkuta 😓
Mgongo unamuuma🤗

14/03/2022



Sofa set L shape 1.6M

Coffee table 350,000

0657341025

31/01/2022

ZABURI; 32;8

Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea;
Nitakushauri,jicho langu likikutazama.(MONICA).

21/01/2022

Meza ya chakula, nzuri sana

Kutoka kwetu,imefika Kwa mteja🤗.

Duration; 8days

6 chairs ;. 1.2M

0657341025

17/01/2022

Hayaa sasa Decor by Monie♏ (Madam CEO)🇹🇿]] ,tumekuletea utaratibuu mzurii sanaaaa wa malipo.
1; unaweza kulipia taratibu taratibu,
2; Au kujiunga na group zetu Ili uweze kupata Kwa urahisi.
TIMIZA NDOTO ZAKO na Decor by Monie♏ (Madam CEO)🇹🇿]]
Decor by Monie♏ (Madam CEO)🇹🇿]] .

0657341025.

14/01/2022

,tukiwa k**a moja wa wadhamini wa shindalo hili,
Tunawasisitiza msikose kushuhudia mtanange huu wa tuzo.
Pata ticket mapemaa.

13/01/2022

Dinning chairs,

Bei ya January,unavipata kwa 130,000 tu, Kwa kimoja,
Call 0657341025.

13/01/2022

seti k**a hiiii ya 2,2,1,1 ,unaipata kwa 1.2M tu

Call/Wasap 0657341025

05/01/2022

Mwaka 2022,tupo tayari kukuhudumia mteja wetu,

Tuamini ili tufanye kazi Kwa pamoja.

TUNAKUPENDA🥰, wewe ni boss wetu. Tunakuomba tutumie hutojuta.

0657341025

23/09/2021

Kutoka

0657341025

Want your business to be the top-listed Furniture Store in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Africana Mbezi Beach
Dar Es Salaam