๐๐๐ค๐ญ๐๐ซ๐ข ๐๐ข๐ง๐ ๐ฐ๐ ๐ฐ๐ ๐๐๐ญ๐จ๐ญ๐จ (๐๐๐๐๐ข๐๐ญ๐ซ๐ข๐๐ข๐๐ง) | ๐๐๐ซ๐ข๐ ๐๐ญ๐จ๐ฉ๐๐ฌ ๐๐ฐ๐๐ง๐ ๐ ๐๐จ๐ฌ๐ฉ๐ข๐ญ๐๐ฅ
Je, mtoto wako anasumbuliwa na homa za mara kwa mara, mafua, kikohozi, au unahitaji ushauri wa lishe na ukuaji?
Karibu Marie Stopes Mwenge Hospital, ambapo tunatoa huduma za kitaalamu za afya ya watoto kwa uangalizi wa hali ya juu na mazingira rafiki, ili kuhakikisha mwanao anakua mwenye afya njema.
โข Uchunguzi na matibabu ya Watoto
โข Ushauri wa lishe na ukuaji
โข Ufuatiliaji wa afya ya mtoto (Check-up)
โข Chanjo kwa Watoto.
Weka miadi leo kwa kuwasiliana nasi:
๐๐ข๐ ๐ ๐๐๐๐: ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐
๐๐ก๐๐ญ๐ฌ๐๐ฉ๐ฉ: ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐
#๐๐๐ซ๐ข๐๐๐ญ๐จ๐ฉ๐๐ฌ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐: - #๐๐๐ฒ๐๐๐๐ค๐จ๐๐ก๐๐ ๐ฎ๐จ๐๐๐ค๐จ๐๐๐ญ๐ฆ๐๐๐๐ค๐จ.
Marie Stopes Tanzania
Providing Choices in Family Planning and Reproductive Healthcare throughout Tanzania
Marie Stopes Tanzania (MSt), an affiliate partner of MSI, was established in 1987 as a locally registered NGO. It is Tanzania's largest and most specialised sexual reproductive health (SRH) and family planning (FP) organisation and is renowned for providing a wide range of high quality, affordable and client-centred SRH services and information to men, women and young people throughout Tanzania. T
02/09/2026
๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ - ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ (๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐)
We are looking for an experienced and strategic healthcare leader to join MSI Tanzania as a Clinical Quality Director, based in Dar es Salaam.
This role will provide leadership in clinical governance, quality assurance, client safety, and continuous improvement of healthcare services.
If you are passionate about delivering high-quality, client-centered healthcare and leading teams to achieve excellence, this is your opportunity to make a meaningful impact.
๐ Apply through the link below and become part of our motivated team.
https://www.mariestopes.or.tz/join-our-team/
๐
Application Deadline: 13 September 2026
#๐๐๐ซ๐ข๐๐๐ญ๐จ๐ฉ๐๐ฌ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐: - #๐๐๐ฒ๐๐๐๐ค๐จ๐๐ก๐๐ ๐ฎ๐จ๐๐๐ค๐จ๐๐๐ญ๐ฆ๐๐๐๐ค๐จ.
Je, una miaka 15-25 na umewahi kunufaika na huduma za MSI Tanzania au kutumia Lifeguard? Hii ni nafasi yako ya kuonekana na kushinda kuwa balozi wa MSI Tanzania.
๐ธ Piga picha au ๐ฅ rekodi video fupi (isiyozidi dakika 2) ukiwa:
โข Katika kituo cha MSI Tanzania
โข Karibu na gari la huduma za MSI Tanzania
โข Ukiwa na bidhaa ya Lifeguard
Kisha tuambie jinsi huduma au bidhaa hiyo imekusaidia kufikia ndoto, malengo au hatua muhimu katika maisha yako.
Post kwenye akaunti yako ya mitandao ya kijamii na utag: na
Kijana mmoja wa k**e na mmoja wa kiume watakaopata engagement kubwa zaidi (likes, comments na shares) watapata fursa ya kuwa Mabalozi wa MSI Tanzania katika Wiki ya Kitaifa ya Vijana 2026 itakayofanyika mkoani Rukwa, kuanzia tarehe 8 - 14 October.
Vijana wenye ulemavu wanahimizwa kushiriki. Hatumuachi mtu nyuma ๐ฆ๐ฐ๐ข๐ฌ๐ก๐จ ๐ฐ๐ ๐๐ก๐๐ฅ๐ฅ๐๐ง๐ ๐ ๐ก๐ข๐ข ๐ง๐ข ๐๐/๐๐/๐๐๐๐.
Post. Tag. Share Hadithi Yako. Shinda Fursa Yako
#๐๐๐๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐: - #๐๐๐ฒ๐๐๐๐ค๐จ๐๐ก๐๐ ๐ฎ๐จ๐๐๐ค๐จ๐๐๐ญ๐ฆ๐๐๐๐ค๐จ.
01/09/2026
Je, unajua haki zako unapopata huduma za afya?
Je, una taarifa sahihi zinazokusaidia kufanya maamuzi sahihi kuhusu afya yako?
Mwezi huu, tutazungumza kuhusu afya ya uzazi, haki zako unapopata huduma za afya, usalama wa huduma, mazingira rafiki yanayozingatia utu, pamoja na usiri wa taarifa zako.
Endelea kuwa nasi mwezi huu jifunze, uliza na chagua kwa uelewa.
Kwa sababu taarifa sahihi ni hatua muhimu kuelekea maamuzi sahihi na huduma salama.
๐ ๐๐๐๐-๐๐๐-๐๐๐ | ๐ฑ ๐๐๐๐-๐๐๐-๐๐๐
#๐๐๐ซ๐ข๐๐๐ญ๐จ๐ฉ๐๐ฌ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐: - #๐๐๐ฒ๐๐๐๐ค๐จ๐๐ก๐๐ ๐ฎ๐จ๐๐๐ค๐จ๐๐๐ญ๐ฆ๐๐๐๐ค๐จ.
29/08/2026
Karibu Marie Stopes Mwenge Maternity Hospital kwenye Darasa la Wajawazito,
Ambapo utapata nafasi maalum ya kujifunza, kuuliza maswali na kupata ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya, ili uwe tayari zaidi kwa ujauzito, kujifungua na
malezi ya mtoto wako.
Katika darasa hili utapata fursa ya:
โข Kujifunza unyonyeshaji sahihi tangu siku za kwanza za maisha ya mtoto
โข Kufahamu namna bora ya kumtunza mtoto mchanga
โข Kujifunza jinsi ya kutunza afya yako na ya mtoto wakati wa ujauzito na baada ya kujifungua
โข Kuuliza maswali na kupata majibu ya kitaalamu kutoka kwa wataalamu wenye uzoefu
โข Kujiandaa kwa uzazi salama kwa kujiamini na taarifa sahihi
Usiingie kwenye hatua ya kujifungua bila maandalizi. Jipatie maarifa leo ili uwe tayari kumkaribisha mtoto wako kwa ujasiri na utulivu.
๐
๐๐ข๐ฅ๐ ๐๐ฎ๐ฆ๐๐ฆ๐จ๐ฌ๐ข
๐ ๐๐๐ ๐:๐๐ ๐๐ฌ๐ฎ๐๐ฎ๐ก๐ข โ ๐:๐๐ ๐๐๐ก๐๐ง๐
๐ ๐๐๐ซ๐ข๐ ๐๐ญ๐จ๐ฉ๐๐ฌ ๐๐ฐ๐๐ง๐ ๐ ๐๐๐ญ๐๐ซ๐ง๐ข๐ญ๐ฒ ๐๐จ๐ฌ๐ฉ๐ข๐ญ๐๐ฅ
๐ ๐๐ข๐ ๐ ๐๐๐๐: ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐
๐ฌ ๐๐ก๐๐ญ๐ฌ๐๐ฉ๐ฉ: ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐
#๐๐๐ซ๐ข๐๐๐ญ๐จ๐ฉ๐๐ฌ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐: - #๐๐๐ฒ๐๐๐๐ค๐จ๐๐ก๐๐ ๐ฎ๐จ๐๐๐ค๐จ๐๐๐ญ๐ฆ๐๐๐๐ค๐จ.
28/08/2026
Je, una maswali kuhusu mabadiliko ya mwili wako, hedhi, Afya ya uzazui au magonjwa ya zinaa (STIs), lakini hujui umuulize nani?
Youth Corner ni sehemu salama na rafiki kwa vijana ambapo unaweza kupata:
โข Taarifa sahihi kuhusu afya ya uzazi
โข Ushauri wa kitaalamu kwa faragha
โข Elimu kuhusu balehe na mabadiliko ya mwili
โข Ushauri wa kujikinga dhidi ya magonjwa ya zinaa (STIs)
โข Huduma rafiki zinazokusaidia kufanya maamuzi bora kuhusu afya yako
Tembelea kituo chetu kilicho karibu nawe na upate elimu, ushauri na huduma.
๐๐ฐ๐ ๐ฎ๐ฌ๐ก๐๐ฎ๐ซ๐ข ๐๐ฎ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐๐ค๐ ๐ฆ๐ข๐๐๐ข, ๐ฐ๐๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข๐๐ง๐ ๐ง๐๐ฌ๐ข ๐ค๐ฎ๐ฉ๐ข๐ญ๐ข๐:
๐๐ข๐ ๐ ๐๐ฎ๐ซ๐: ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐
๐๐ก๐๐ญ๐ฌ๐๐ฉ๐ฉ: ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐
#๐๐๐ซ๐ข๐๐๐ญ๐จ๐ฉ๐๐ฌ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐: - #๐๐๐ฒ๐๐๐๐ค๐จ๐๐ก๐๐ ๐ฎ๐จ๐๐๐ค๐จ๐๐๐ญ๐ฆ๐๐๐๐ค๐จ.
24/08/2026
Kunyonyesha hakumzuii mama kupanga uzazi.
Mama anaweza kutumia njia salama za uzazi wa mpango baada ya kupata ushauri na vipimo ili kubaini njia inayomfaa k**a ni salama, sahihi na rafiki kwake pamoja na mtoto.
Huduma hizi zinapatikana kwenye vituo vyote vya Marie Stopes Tanzania.
๐๐๐ค๐ ๐ฆ๐ข๐๐๐ข ๐ฒ๐๐ค๐จ ๐ฌ๐๐ฌ๐ ๐ค๐ฎ๐ฉ๐ข๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ (๐๐ฎ๐ซ๐), ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ (๐๐ก๐๐ญ๐ฌ๐ฎ๐ฉ) ๐๐ฎ ๐ญ๐๐ฆ๐๐๐ฅ๐๐ ๐ค๐ข๐ญ๐ฎ๐จ ๐๐ก๐๐ญ๐ฎ ๐ค๐ข๐ฅ๐ข๐๐ก๐จ ๐ค๐๐ซ๐ข๐๐ฎ ๐ง๐๐ฐ๐.
#๐๐๐ซ๐ข๐๐๐ญ๐จ๐ฉ๐๐ฌ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐: - #๐๐๐ฒ๐๐๐๐ค๐จ๐๐ก๐๐ ๐ฎ๐จ๐๐๐ค๐จ๐๐๐ญ๐ฆ๐๐๐๐ค๐จ.
20/08/2026
Je, unapata harufu mbaya ya kinywa?
Je, unasumbuliwa na maumivu ya meno?
โ
Je, unapata changamoto ya ufizi kuvimba au kutoa damu ?
Je, umeshafanya uchunguzi wa afya yako ya kinywa ?
Au bado hujafanya uchunguzi wa afya ya kinywa kwa muda mrefu?
Usiendelee kuishi na maumivu au usumbufu suluhisho liko karibu yako
๐๐๐ซ๐ข๐๐ฎ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ก๐ฎ๐๐ฎ๐ฆ๐ ๐ณ๐ ๐ฎ๐๐ก๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ณ๐ข ๐ง๐ ๐ฆ๐๐ญ๐ข๐๐๐๐ฎ ๐ฒ๐ ๐ค๐ข๐ง๐ฒ๐ฐ๐ ๐ง๐ ๐ฆ๐๐ง๐จ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ค๐ข๐ญ๐ฎ๐จ ๐๐ก๐๐ญ๐ฎ ๐๐ก๐ ๐๐๐ซ๐ข๐ ๐๐ญ๐จ๐ฉ๐๐ฌ ๐๐ฐ๐๐ง๐ณ๐, ๐ค๐ข๐ฅ๐ข๐๐ก๐จ๐ฉ๐จ ๐๐ญ๐๐ ๐ฐ๐ ๐๐ก๐๐ง๐, ๐๐ฅ๐๐ฆ๐๐ฅ๐, ๐ค๐ฐ๐ ๐ก๐ฎ๐๐ฎ๐ฆ๐ ๐ข๐ฅ๐ข๐ฒ๐จ ๐๐จ๐ซ๐, ๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฆ๐ ๐ง๐ ๐ซ๐๐๐ข๐ค๐ข.
Ili kuweka miadi yako au kupata taarifa zaidi tupigie bure kwa namba: ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐, chati nasi WhatsApp: ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐.
#๐๐๐ซ๐ข๐๐๐ญ๐จ๐ฉ๐๐ฌ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐: - #๐๐๐ฒ๐๐๐๐ค๐จ๐๐ก๐๐ ๐ฎ๐จ๐๐๐ค๐จ๐๐๐ญ๐ฆ๐๐๐๐ค๐จ.
19/08/2026
๐๐๐ซ๐ข๐๐ฎ ๐๐๐ซ๐ข๐ ๐๐ญ๐จ๐ฉ๐๐ฌ ๐๐ฐ๐๐ง๐ ๐
Katika kipindi hiki cha ukarabati wa Hospitali yetu ya Mwenge, huduma za kawaida zinaendelea kutolewa k**a kawaida kwa muda uliopangwa.
Tunawahakikishia wateja wetu kuwa huduma muhimu za afya bado zinapatikana kwa ubora na usalama.
Kwa maelezo zaidi au kuweka miadi, ๐๐ฎ๐ฉ๐ข๐ ๐ข๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ฎ ๐๐ก๐๐ญ๐ฌ๐๐ฉ๐ฉ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐๐ค๐ ๐ฆ๐ข๐๐๐ข ๐ฒ๐๐ค๐จ.
#๐๐๐ซ๐ข๐๐๐ญ๐จ๐ฉ๐๐ฌ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐: - #๐๐๐ฒ๐๐๐๐ค๐จ๐๐ก๐๐ ๐ฎ๐จ๐๐๐ค๐จ๐๐๐ญ๐ฆ๐๐๐๐ค๐จ.
17/08/2026
MSITZYouthChallenge
Je, una umri wa miaka 15-25 na umewahi kunufaika na huduma za MSI Tanzania (matibabu, mafunzo, upimaji wa afya, kazi za kujitolea) au kutumia bidhaa yetu ya Lifeguard condom?
Ikiwa ndivyo, fanya hivi, Piga picha au jirekodi video fupi isiyozidi dakika Mbili (2) ukiwa:
โข Katika kituo cha Marie Stopes
โข Karibu na gari la huduma za mkoba za MSI Tanzania
โข Ukiwa na bidhaa ya Lifeguard
Tuambie jinsi huduma au bidhaa hiyo imekusaidia katika kufikia ndoto yako, kisha post kwenye ukurasa wako na utag page zetu za
Kijana mmoja wa k**e na mmoja wa kiume watakaopata engagement nyingi zaidi watapata fursa ya kuwa mabalozi wa MSI Tanzania kwenye wiki ya kitaifa ya Vijana 2026 mkoani Rukwa, mwezi Oktoba mwaka huu.
Vijana wenye ulemavu wanahimizwa kushiriki.
Post, Tag na ushindane leo
#๐๐๐๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐: - #๐๐๐ฒ๐๐๐๐ค๐จ๐๐ก๐๐ ๐ฎ๐จ๐๐๐ค๐จ๐๐๐ญ๐ฆ๐๐๐๐ค๐จ.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the business
Website
Address
Mwenge
Dar Es Salaam
11000