Office chair repear/selling new office furniture

Office chair repear/selling new office furniture

Share

Tunajishughurisha na kurepar viti vya mahofisini na pia tunauza office furnitures mbalimbali asiliana nasi 0763224112

14/08/2026

๐Ÿช‘โœจ OFISI YAKO INASTAHILI MWONEKANO WA KISASA! โœจ๐Ÿช‘

Tunauza office furniture mbalimbali zenye ubora na muonekano wa kisasa โ€” kuanzia office chairs, executive chairs, office desks, reception furniture, cabinets na samani nyingine za ofisini. ๐Ÿข๐Ÿ”ฅ

โœ… Ubora wa kuaminika
โœ… Miundo ya kisasa
โœ… Bei rafiki
๐Ÿ“ž Piga/WhatsApp: 0763 224 112

๐Ÿ“ Tunapatikana Dar es Salaam.
Agiza leo, boresha ofisi yako leo! ๐Ÿ”ฅ

11/08/2026

Office chair 165000 free delivery ndani ya dar 0763224112

13/07/2026

Usitupe kiti chako maana bado kinathamani sana p**a gharama za kununua kitikipya wakati unakiti chako marekebisho madogo 0763224112

09/07/2026

Kumekucha kumekucha makumbusho K**a kawaida yetu tunazidi kutikisa tanzania kwa ujumla boss kachukua viti daraja la kwanza 180000/=free delivery ndani ya dar wasiliana nasi upate vitu imara na vyenye quality nzuri 0763224112

07/07/2026

Heri ya Sikukuu ya Saba Saba kutoka Fundi Viti
Tunajivunia kuendelea kuboresha Hofisi zenu kwa
samani zenye ubora na viwango vya juu vya
Kitanzania.
Siku hii ya biashara na uwekezaji, tufanye ofisi yako iwe ya kisasa zaidi!

Usitupe kiti chako! Tupigie, tuje tukulekebishie
viti vyako sasa! Tufuate sasa kwa namba zetu zifuatazo: 0763224112

Kwa huduma za kwanza za samani za ofisi.

05/07/2026

OFA MAALUM YA OFISI
Seti ya Office Table + Revolving
Chair kwa TSH 480,000 KAMILI tu!

๐Ÿ‘Muonekano wa kisasa

๐Ÿ‘Imara na wa kudumu

๐Ÿ‘Inafaa kwa ofisi, biashara na matumizi ya nyumbani

๐Ÿ‘Bei nafuu ukilinganisha na ubora wake

Tunapatikana Tanzania
& Wasiliana nasi sasa: 0763224112

Usikose ofa hii - boresha ofisi yako leo kwa mindo na ubora wa hali ya juu!

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐ŸŒด๐ŸŒžโœŒ๐Ÿฝ๏ธ

05/07/2026

๐Ÿ’ฐ Bei Maalum: TSH 550,000 Tu

๐Ÿšš FREE DELIVERY ndani ya Dar es Salaam

โœ”๏ธ Chuma imara na cha kudumu
โœ”๏ธ Milango yenye kufuli kwa usalama wa nyaraka
โœ”๏ธ Droo na nafasi kubwa za kuhifadhi mafaili
โœ”๏ธ Inafaa kwa ofisi, shule, hospitali na biashara

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi: 0763224112

Agiza leo, tukuletee mpaka ulipo ndani ya Dar bila gharama za usafirishaji!

17/06/2026

Umebaki wewe sasa unachelewa nini hamna haja ya kuweka stoo viti Vibovu vinawezekana kurudi upya sasa tuchek Tukutengenezee viti vyakoooo Wasiliana nasi kwa kupitia namba zetu zifuatazo 0763224112

13/06/2026

Office table miguu ya chuma 0763224112

04/06/2026

USITUPE kiti CHAKO maana bado kinathamani sana tuchek tujeturepee safi repear zipo tuchek 0763224112

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Want your business to be the top-listed Furniture Store in Kariakoo?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Kariakoo